Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Friday, October 17, 2008

Picha zilizopigwa mwanzoni mwa Utawala wa Mh. J.M. Kikwete. Kutoka kushoto Mh. M.Kibaki, Mh. R.G. Mugabe, Mh. D.L. Moi, Mh.B.W. Mkapa, Mh. K.M.Kikwete, Mh. A.H. Mwinyi, Mh. Y.K.Museveni. Ilikuwa 2006, Mwanzoni.

0 comments: