Duka lenye bidhaa za kitalii, nguo, mapambo n.k kutoka Afrika mashariki hususan Keny zinapatikana Harajuku. Na kuingia ndani tu nikakutana na Bongo fleva la bongo...Aisee inafurahisha!
KAMATI YA BUNGE YA PIC YAGUSA MCHANGA UNAOHAMA
33 minutes ago


0 comments:
Post a Comment