Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Thursday, October 09, 2008


Unaonaje hii imetulia ,matumizi mazuri ya fukwe. Haya ni Mandhari ya hoteli moja huko Terrasini, mjini Palermo, Italy, Hili ni eneo la nyuma .( Imefotolewa na Dr. Ally Simba).

0 comments: