Mwanamke kutoka kabila la Surma nchini Ethiopia na kisahani cha ndonya , mapambo muhimu kama unataka kupata mchumba katika kabila hilo. Bunduki hiyo aliyoibeba ni ya mume wake. Kabila hilo ndilo lililo katika vita na makabila jirani yao ya Sudani . Bara letu hilo.
JAB YAWATAKA WAANDISHI CROWN MEDIA KULINDA IMANI YA UMMA
8 minutes ago

0 comments:
Post a Comment