Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Monday, October 13, 2008

Co Komrade Rashidi Pembe -Dj Ze akifanya vitu vyake katika ghafla iliyofanyika jana ufukweni.mwa mto Sagami huko Kanagawa iliyowakutanisha wanajumuia watanzania wanaoishi hapa Japani (Tanzanite society) kwa lengo la kujiburudisha pia kuwahamasisha wale ambao si wanachama wa jumuia wajiunge. Muziki na vilaji vilikuwa ajenda muhimu. take 5 Dj....

0 comments: