Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Wednesday, October 08, 2008

Kipindi cha mazoezi ya mwili cha kila asubuhi kupitia Redio Japani kinasikilizwa kupitia spika hii na wafanya mazoezi wanafuata maelekezo ya jambo la kufanya kupitia hapo...Safii.

0 comments: