Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Sunday, October 12, 2008

Kulikuwa na shughuli leo yoyogi Park Tokyo, siku ya kula kucheza na kufurahi. Vitafunwa vilikuwepo , vinywaji . Kwa raha zao wananchi walijimwaga. Inapendeza!

0 comments: