Mwanamuziki wa kimarekani mwenye kipaji kikubwa cha kutumia sauti yake Celine Dion(39) jana alianza ziara ya mapumziko huko Afrika ya kusini ambako inaelezwa kuwa kuna mauzo makubwa ya nyimbo zake kuliko sehemu yoyote barani Afrika.
Aliyemshika ni mtoto wake Rene charles mwenye miaka 7 . Hapa akiwa katika kituo cha kulelea watoto wenye matatizo cha soweto. Katika ziara hiyo ameambatana na mumewe Charles Angelil. Namzimia sana huyu mdada kwa sauti yake. wewe je!
Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Posted by
BM.
on
Saturday, November 15, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment