Tangu kutangazwa kuwa Raisi mteule wa Marekani Bw. Barack Obama ameongezewa ulinzi maradufu. Msafara wake ukielekea Chicgo yalipo makao makuu ya FBI kuelezwa mambo ya siri ya kiulinzi ya Marekani na dunia kwa ujumla.
WAZIRI MKUU: TUEPUKE MIGOGORO NA MIZOZO
2 hours ago

0 comments:
Post a Comment