Maisha yamebadilika sana Zimbabwe na watu wameanza kubadilishana bidhaa badala ya kutumia fedha maana watu wanaona thamni yake hailipi hata kwa fungu la nyanya.. Thamani ya pesa imeshuka sasa kwa asilimia millioni 2.2 kiwango ambacho tangu watu waijue pesa ulimwenguni hakijafikiwa. Hata hivyo wakubwa wanaendelea na mazungumzo ya kugawana madaraka , watu wanaumia.
Dira Ya Dunia
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment