Mtoto Barack Hussein Obama , alizaliwa August 4, 1961. Picha hii imetunzwa hadi hii leo na kutolewa kwenye mtandao na dada yake Obama ,Maya Soetoro-Ng. Obama sasa ni Raisi mteule wa Marekani. Mtunze mwanao huwezi kujua!
Tetesi za soka Ulaya: Man City inamtaka Florian Wirtz
44 minutes ago
0 comments:
Post a Comment