Mtanzania mwenzetu aliyekuwa akiishi hapa Japani Bi. Amina Kisigo amefariki dunia. Bi. Amina alifariki tarehe 20, Nov.2008 katika hospitali ya Daigaku hapa Tokyo na mipango ya kusafirishwa mwili wa marehemu inafanyika kwa kukusanya michango ya watanzania wanaoishi hapa Japani. Fedha zinakusanywa kupitia Benki ya Mizuho tawi la Kokubunji No.275; Simba Ally Yahaya. Acc. No. 4092974. Pole ndugu wote na watanzania wenzangu hususan familia ya Rashid Kisigo. Ni kazi ya Mungu ambayo haina makosa. Mungu ailaze roho ya Marehemu Amina Peponi, Amin.
KARATU YAFIKIWA NA ELIMU YA FEDHA
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment