J3 ilikuwa sikukuu ya Kitaifa nchini Japani , siku ya mapumziko. Watu kwa maelfu walikusanyikakatikaviwanja vya michezo kubadilisha mandhali kidogo. Viwanja vya Yoyogi, Tokyo kulipambazuka kwa maoonyesho ya vijana kwa wazee . Waliobaki walijilaza tu kuota jua.
Amka Na BBC
4 hours ago

0 comments:
Post a Comment