Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Monday, December 15, 2008

Miss World; Mrembo Ksenya Sukhinova wa Urusi katikati baada ya kuvishwa taji la mrembo wa dunia na pembeni yake Parvathy Omanakuttan wa India na Gabriel Walcott wa Trinidad and Tobago huko Johannesburg siku ya jumamosi Saturday.

0 comments: