Mwandishi wa habari wa kituo cha Tv cha Baghdadiya , Muntazer al-Zaidi, akirusha viatu vyake dhidi ya Raisi Bush alipokuwa akiongea na waandishi wa habari leo Jumatatu huko Baghadad Iraq. na alifanya hivyo akipiga kelele hilo ndio Busu la kwaheri na vikosi vyako . Du jamaa kajitosa!
TRA Yatangaza IDRAS Kuanza Rasmi Februari 9, 2026
28 minutes ago

0 comments:
Post a Comment