Kanali Muammar Gadaffi , Kiongozi wa Libya amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa AU na hapa anapokea rungu la uenyekiti kabla hajatoa hotuba yake ya kwanza kama mwenyekti. Kushoto ni mwenyekiti aliyemtangulia Raisi Jakaya Mrisho Kikwete.
Tetesi za soka Ulaya: Man City inamtaka Florian Wirtz
43 minutes ago
0 comments:
Post a Comment