Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Friday, February 13, 2009

Watuhumiwa wa mauaji ya kutisha yaliyotokea jijini Dar es salaam hivi karibuni Vinoth Praveen (23) na na mkewe Komal Bupendra (23) wamefikishwa mahakamani kujibu shitaka la kumuua mwenzao Abdul Basit Abdallah na kisha kumkatakata na mwili kuuweka katika begi na kuutelekeza ndani ya gari katika jengo la J.M Mall, alikuwa akiwadai pesa kiasi cha dola za USA 20,000. Jamaa walidakwa Airport wakitaka kupanda ndege kutorokea India. Haya vijanangu anzeni ukurasa mpya.

0 comments: