Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Thursday, February 05, 2009

Kuanzia mwishoni mwa wiki hii kutakuwa na mashindano ya kimataifa ya Sarakasi yatakayowashirikisha wasanii kutoka nchi za Asia, Ulaya na Marekani. Jengo lipo Uwanja wa taifa wa Yoyogi jijini Tokyo.

0 comments: