Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Monday, February 09, 2009


Kuna program inayoendelea nchini Japani ya kuwakusanya watoto wanaopenda sarakasi na hasa wenye mwelekeo na baadaye kuwapa mafunzo ya awali. Tayari mchujo umefanyika jijini Tokyo na mazoezi makali yanaendelea katika uwanja wa michezo ya ndani Tokyo eneo la Yoyogi kama Blog ya mirindimo ilivyonasa mazoezi ya watoto mwishoni mwa wiki iliyopita...

0 comments: