Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Tuesday, February 10, 2009

Kama hujafika hapo ...kuna kitu umekikosa ..Haya ni maajabu ya nane ya dunia , hifadhi iliyo mithili ya sufuria kubwa yenye viumbe hai na uoto wa asili. Ngorongoro Creater. Iko pembezoni tu njia ya Arusha Musoma kupitia Serengeti National park.Jitendee haki kwa kufika hapo.

0 comments: