Maji yamehama! kutokana na mabadiliko ya tabia nchi na kuongezeka kwa joto duniani lakini pia ni kutokana na matumizi ya maji ya ziwa hilo. picha inaonyesha maji yamehama kwa karibu mita 100 na hii ni katika kipindi kisichozidi miaka kumi! Picha inapoanzia ndipo maji yalipokuwepo!
OSHA YATAKIWA KUWAELIMISHA WAAJIRI NA WAFANYAKAZI SERIKALINI
25 minutes ago
0 comments:
Post a Comment