Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Wednesday, March 11, 2009

Juzi ...Ndani ya uwanja wa mpira wa mgodi wa dhahabu wa Barick Bulyanhulu a.k.a Buly Uliopo Mkoa wa Shinyanga wadau wa dharura wakifanya mazoezi ya kuzima moto na uokoaji. Hii kwa kisukuma inaitwa Fire drill and emergency responce to an emergency. Zoezi hili hufanyika mara mbili kwa mwaka.

0 comments: