Mke wa Raisi Mstaafu wa Zambia Fredrick Chiluba , Bi. Regina Chiluba katikati pichani amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela kwa kutumia vibaya fedha za umma wakati mume wake alipokuwa madarakani na pia amehusika na rushwa. Hapo anapelekwa Gereza kuu la Lusaka linalojulikana kama Chimbokaila.
AMCOS ZA PWANI ZATAKIWA KUACHANA NA OFISI ZA MABEGI
41 minutes ago
0 comments:
Post a Comment