Hawa jamaa wanaishi katikati ya Jiji la Tokyo eneo la Shibuya ...ni ombaomba . Lakini tofauti na wa kwetu wana fenicha chache nzuri, mablanketi na vyakula vya mabox vya kiwango. Na eneo hilo husafishwa Kila asubuhi na hawabughudhiwi . Jamaa wananiambia Serikali ya Japani inawapa fedha za kujikimu...du!
'Mlo ulioniacha na vimelea 38 kwenye ubongo'
10 minutes ago

0 comments:
Post a Comment