Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Thursday, March 12, 2009

Sokoni Mwanza, leo mchana (Alhs). Soko la zamani karibu na stendi ya mabasi kwa wale wanaolijua jiji la Mwz. Maumivu kwa kuku kuanzia ukamataji , ndani ya tenga hadi uchinjaji ...

0 comments: