Ni kama aina fulani ya Miti , inapondwa na kutoa machicha ambayo ukiyakamua yanatoa maji . Maji haya hutumika kunywa na kuoga kama unavyoona huyo mtoto. Chakula chao ni nyama za kuchoma na matunda na moto hawahitaji kiberiti , ni kupekecha tu miti...moto huo.
RAIS WA BURUNDI AMFARI RAIS SAMIA
5 days ago

0 comments:
Post a Comment