Nilimuuliza Balozi wa Tanzania nchini Japani anayestaafu Mh. Elly Mtango yapi makubwa ambayo watanzania wazingatie ili wapate maendeleo ya kasi . Akanijibu; mambo matatu makubwa yanahitajika kwanza , Kujiamini, kufanya kazi kwa bidii na matumizi mazuri ya rasilimali muda. Mengine yafuate. Mazungumzo ya kuagana na Mh. Balozi anayestaafu.
Viongozi Maliasili Wafanya “Royal Tour” Hifadhi ya Manyara
38 minutes ago

0 comments:
Post a Comment