Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Sunday, March 08, 2009

Leo katika viwanja vya Shirika la Utangazaji laJapani NHK na Uwanja wa taifa wa Yoyogi, Shibuya hapa Tokyo kulikuwa na maonyesho ya watoto, bidhaa za mashambani, mifugo na vyakula vya kiasili. Huyo mjamaa kavaa nembo ya NHK katika kulitangaza shirika..

0 comments: