Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Saturday, March 07, 2009

Wanafunzi wa Chuo Kikuu St. Augustine Mwanza , Mwaka wa kwanza kitivo cha habari na mawasiliano ya umma...wakiwasikiliza watangazaji wa RFA mwanza wakitoa mhadhara chuoni hapo.

0 comments: