Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Wednesday, March 11, 2009

Nchi isiyo na Serikali kwa mwango mmoja na nusu, silaha zimezagaa, madawa ya kulevya, visasi , ubabe na ukosefu wa ajira . Kati ya watu 10 ,tisa hawana kazi ya . Hii ni SOMALIA .
Hapa ni Mogadishu, choka mbaya.

0 comments: