Eneo la Kishili, Mwanza...Maliasili iliyoduwaa kutokana na ukosefu wa Mitaji. Nawaza maeneo ya mawe kama haya yangekuwa Marekani wangeyafanyaje. Barabara za Miji zingejengwa na mawe. Pengine pia ni ukosefu wa teknolojia ya uchongaji wa mawe.
Tetesi za soka Jumamosi 04.05.2024
32 minutes ago
0 comments:
Post a Comment