Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Tuesday, March 10, 2009

Migahawa na Hoteli nyingi nchini Japani huweka sampuli za vyakula halisi vinavyouzwa siku hiyo nje ya migahawa. Watu huangalia na huingia mgahawani. Nafikiria hii ingewekwa pale Manzese , Dar sijui ingekuwaje...ingekuwa lawama.

0 comments: