Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Friday, March 13, 2009

Mwanamume wa kimursi huko kusini mwa mkoa wa Omo nchini Ethiopia. Kabila hili linakisiwa kuwa na watu kati ya elfu 46 na 47. Ni wafugaji na wawindaji wazuri wa wanyama pori kama unavyomuona huyo jamaa kabeba kifaa.

0 comments: