Nchini SOMALIA watu wanatumia Dola ya Kisomali ambayo inabadilishwa na fedhanyingine za kigeni hususan Dola ya Kimarekani . Dola ya Kisomali Elfu nane ya kimarekani Moja. Noti yenye thmani kubwa zaidi ni mia tano na bunda moja kuna noti mia.In Somaliland people use Somaliland Schillings.Vijana hapo ni mamilionea , na benki yao iko mtaani tu hakuna ATM wala kujaza fomu. Leta …Chukua na hakuna haja ya ulinzi …Ukimwaga ugali wanamwaga mboga. Hilo ni eneo la Hargeysa lakini ukibadilisha pesa tarajia kuonyeshewa mtutu au kupewa fedha ndizo sizo. Maisha
Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Posted by
BM.
on
Saturday, April 04, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment