Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC London , Solomon Mugera Omollo (Pichani-Kulia)akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Kiluvya Pub iliyopo Kibaha Mkoani Pwani Robert Luwanda katika hafla ya kuwakaribisha yeye ,Charles Hillary na Komredi Issa Michuzi wakiwa wanatokea Butiama . (Kwa hisani ya Michuzi blog.)
RAIS WA BURUNDI AMFARI RAIS SAMIA
1 day ago

0 comments:
Post a Comment