Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Sunday, April 05, 2009

Jijini Mwanza weekend hii kulikuwa na burudani ya aina yake pale waendesha mitumbwi wake kwa waume walipoonyeshana ubavu kwa kwenda kilometa kadhaa majini katika ziwa victoria na mshindi kuzawadia ...mirindimo...ilishuhudia ..upoooo!

0 comments: