Leo Jumapili katika viwanja vya Yoyogi jijini Tokyo, Japani kulikuwa na burudani iliyowakutanisha wapigaji wa muziki wa Reggae jijini hapa. Hawa jamaa walinifurahisha sana kutokana na kuwaimbisha wajapani wenzao nyimbo inayoisifia bara la Afrika kuwa linapendeza japo kibwagizo kilikuwa kayaman haile..no sweti lakini Ujumbe umefika. Fuatilia tukio hilo kwa njia ya picha
Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Posted by
BM.
on
Monday, April 06, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment