Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Saturday, April 18, 2009

Wimbo maalum uliandaliwa kwa ajili ya Mh. Balozi Mtango na mkwe na kila mwalikwa aliuimba kwa kutumia maandiko yaliyogawanywa. Kutoka Kushoto; Mama Frank, Mama Ammy na kulia Mama Koku.

0 comments: