Mwanafunzi mmoja wa chuo kikuu cha Kansas University cha nchini Marekani raia wa Uturuki amehukumiwa adhabu ya kifungo cha mwezi mmoja jela na kufukuzwa nchini Marekani baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mbwa wake kwa muda wa mwezi mmoja.
Cem Basoflas, mwanafunzi wa chuo kikuu cha Kansas University cha nchini Marekani mwenye umri wa miaka 20 toka nchini Uturuki amepatikana na hatia ya kumlawiti mbwa wake kwa muda wa mwezi mmoja na baadae kuutupa mwili wa mbwa huyo baada ya mbwa huyo kufariki.Cem aligundulika kufanya unyama huo kwa wanyama baada ya wajenzi walioenda kwaajili ya kuikarabati nyumba yake kugundua michirizi mikubwa ya damu kwenye nyumba hiyo na kuwataarifu polisi.Baada ya polisi kufika na kufanya uchunguzi wao, waligundua kwamba damu hiyo ni ya mbwa na baada ya uchunguzi zaidi walifanikiwa kuipata maiti ya mbwa huyo katika sehemu ambayo hawakuitaja.Maiti ya mbwa huyo baada ya kufanyiwa uchunguzi iligundulika kuwa mbwa huyo alifariki baada ya kuteswa na kulawitiwa kwa muda mrefu.Cema alikiri makosa yake na kupewa adhabu ya kwenda jela mwezi mmoja, faini ya dola 4873 na akitoka tu jela atarudishwa kwao nchini Uturuki.
Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Posted by
BM.
on
Monday, May 11, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment