Hiyo ni nyama ya Mbwa ikiwa katika mabucha nchini Vietnam . Ulaji wa wanayama hao uko katika Maeneo mengi barani Asia . Japo Tanzania kuna watani wangu wanachangamkia sana lakini Vietnam na Korea huliwa katika migahawa wakisukumia na laga....
Uaandaaji wake unatisha..inataka moyo.. Rafiki wa binaadamu anapokuwa kitoweo Du!
Kwa hakika Wakorea wanakula mbwa kama walivyo watani zangu …kule Tanzania na hata kama ukitembelea kwenye mabucha utakuta wamepachikwa vyema tu wakisubiri wateja na bei yake iko juu kiasi kwamba ni vigumu kuipata.
Kwa Japani sijapata kuona lakini huwezi kujua kwakuwa hakuna utamaduni ya kuwa mabucha. Nyama hufungwa vizuri na hupatikana kwenye supamaketi. Lakini katika nchi ya Vietnam ndio funga kazi kwa aina hii ya nyama. Kama hujazoea kuona hayo mambo inatisha.

Mdada wa Kikorea akikaangiza kiti motos kwa mlo; Wakorea kama walivyo wajapani hawachagui saaana chakula ... Chakula; Inaelezwa kuwa ukitaka kuwafahamu na kuelewana vizuri na watu barani Asia hususan katikanchi za China,Japani, Korea , Vietnam na kwingineko lazima uheshimu utamaduni wao wa ulaji wa vyakula.
Huenda idadi kubwa ya raia waliopo katika nchi hizo, kutokuwa na imani za kidini zinazosunda kidole kwa baadhi ya vyakula na kuwa na teknolojia ya hali ya juu ya upimaji wa usalama wa vyakula , wamejikuta wakiwa na aina tofauti tofauti za vyakula kuanzia mboga za majani hadi wanyama.
Rafiki yangu mmoja hapa Japani Bw. Nokuchi aliwahi kuniuliza ; Nchi yenu ina misitu mikubwa , vichaka na mashamba yaliyojaa mimea lakini nasikia mna njaa ,je mmeshafanya utafiti kubaini mimea ambayo inaweza kutumika kama chakula na vijinyama vidogo kama nyoka, wanaoweza kutumika kama chakula …nikacheka.
Akasema hamjatumia raslimali yenu vilivyo, Mkiwa na mboga mbadala fedha zenu za matumizi ya nyumbani mnaweza kuziwekeza kwenye akiba ya chakula kingine cha wanga na mwisho akanitania kuwa tukija huko (Tanzania)Tutafaidi chakula kilichotelekezwa. Nikabaki natafakari..
Wakorea kwa mfano wana tabia ya kusalimiana na kasha kuulizana umekula!Wali ndicho chakula kwao kama ilivyo kwa wajapani wakichombezea na mboga za majani , na nyama!
Huenda idadi kubwa ya raia waliopo katika nchi hizo, kutokuwa na imani za kidini zinazosunda kidole kwa baadhi ya vyakula na kuwa na teknolojia ya hali ya juu ya upimaji wa usalama wa vyakula , wamejikuta wakiwa na aina tofauti tofauti za vyakula kuanzia mboga za majani hadi wanyama.
Rafiki yangu mmoja hapa Japani Bw. Nokuchi aliwahi kuniuliza ; Nchi yenu ina misitu mikubwa , vichaka na mashamba yaliyojaa mimea lakini nasikia mna njaa ,je mmeshafanya utafiti kubaini mimea ambayo inaweza kutumika kama chakula na vijinyama vidogo kama nyoka, wanaoweza kutumika kama chakula …nikacheka.
Akasema hamjatumia raslimali yenu vilivyo, Mkiwa na mboga mbadala fedha zenu za matumizi ya nyumbani mnaweza kuziwekeza kwenye akiba ya chakula kingine cha wanga na mwisho akanitania kuwa tukija huko (Tanzania)Tutafaidi chakula kilichotelekezwa. Nikabaki natafakari..
Wakorea kwa mfano wana tabia ya kusalimiana na kasha kuulizana umekula!Wali ndicho chakula kwao kama ilivyo kwa wajapani wakichombezea na mboga za majani , na nyama!
Kwa hakika Wakorea wanakula mbwa kama walivyo watani zangu …kule Tanzania na hata kama ukitembelea kwenye mabucha utakuta wamepachikwa vyema tu wakisubiri wateja na bei yake iko juu kiasi kwamba ni vigumu kuipata.
Kwa Japani sijapata kuona lakini huwezi kujua kwakuwa hakuna utamaduni ya kuwa mabucha. Nyama hufungwa vizuri na hupatikana kwenye supamaketi. Lakini katika nchi ya Vietnam ndio funga kazi kwa aina hii ya nyama. Kama hujazoea kuona hayo mambo inatisha.
Kwa Japani sijapata kuona lakini huwezi kujua kwakuwa hakuna utamaduni ya kuwa mabucha. Nyama hufungwa vizuri na hupatikana kwenye supamaketi. Lakini katika nchi ya Vietnam ndio funga kazi kwa aina hii ya nyama. Kama hujazoea kuona hayo mambo inatisha.
0 comments:
Post a Comment