Nchini Japani mlima mrefu kuliko yote ni Fuji . Mamia kwa maelfu ya watalii wa ndani wanapanda mlima huo kila uchao. Na unaweza kwenda kileleni ukiwa na suti yako au na watoto wadogo kwani Lami mpaka mwisho kama utakavyoona pichani. Tofauti na Mlima Kilimanjaro, Tanzania kuna uhalisia..ni shughuli kwenda kileleni. Swali hapa aina ipi inafaa , unaonaje nasi tupige lami mpaka Uhuru peak?
Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Posted by
BM.
on
Monday, May 04, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comments:
uso!! kuruma chojo made dekinai
gotemba, fujinomiya, subashiri,
yoshida no 4 rute aru. fujisana no mannaka 5 goume made de kuruma dekiru
Post a Comment