Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Tuesday, May 12, 2009

Jijini Tanga kulikuwa na mkutano muhimu wa siku tatu uliowakutanisha waandishi wa habari waandamizi kuzungumzia masuala ya Mfuko wa Bima ya afya . Mkutano huu ulifanyika katika hoteli hiyoo hebu wafuatilie wadau kwa njia ya picha!

0 comments: