Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Friday, June 12, 2009


Japani inawania nafasi ya kuandaa mashindano ya Olympiki mwaka 2016 ..lakini hekaheka zake zinatisha nchi nzima ya Japani kumesambazwa vipeperushi katika maeneo yote muhimu kueleza kuwa iko tayari kuandaa mashindano hayo..mwaka 2016 na ukarabati wa majengo unaendelea ..wakipata je!

0 comments: