Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Friday, June 12, 2009


KESI za mauaji ya albino zimeanza kusikilizwa mkoani shinyanga Tanzania, katika wilaya za Kahama na Shinyanga mjini.. Pichani baadhi ya wasitakiwa wakiingizwa mahakamani.na wakivuta pumzi kabla ya kusomewa mashitaka ya kutenganisha kiwiliwili na kichwa na miguu cha binti mlemavu wa ngozi na kukificha sehemu kwa minajili ya kupata fedha...Du!

0 comments: