Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Tuesday, July 14, 2009



Kaburi la baba Mzee Rajabu Msulwa...Mapumziko yalianzia hapa Mtoto kwa mama hakui..
Na Raja jijini Moro...

2 comments:

Makunzojr said...

Hili kweli ni Bonge la tour uncle ndani ya Bongo. Maana namuona Raja full kuuza sura, mzee makunzo nae hakuwa mbali katika libeneke la kutia dua akiambatana jombi wake Msulwa Mahmoud! Pamoja Isha-Allah
Bahati Makunzo

Subira Msulwa (MMP) said...

Duh! Ningependa kuwepo! Ebu mwangalie Bibi... full kujiachia!Miss all of you! Dec ata mimi ntakwepo on MIRINDIMO! Wacha TU!