. Kiwango cha kuzaliana nchini Japani kinapungua sana . Vijana walio wengi hususan wa kike walio na jukumu hilo maalum la kubeba mimba ama hawataki kuzaa kabisa ama wakipata mtoto mmoja tu basi. Kwakuwa mimba linakuwa tukio moja na la pekee kwa maisha ya mwanamama wa kijapani basi sasa studio moja jijini Tokyo imebuni mradi wa kuwapiga picha akinamama wajawazito kadri ujauzito wao unavyokuwa kama njia ya kusherehekea tukio hilo kubwa. Ukitaka kushuhudia upigaji picha ..ruhsa almradi ukate tiketi yako mapema...du...siku ya siku wataagiza watoto kutoka nje...au wale wa kuasili...adopt kwa kisukuma..
Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Posted by
BM.
on
Friday, August 14, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment