Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Sunday, August 16, 2009


Kikundi cha wanaharakati za kutetea haki za maisha ya wanyama barani ASIA katika nchi ya Japani wanaojulikana kama PETA wakiwahamasisha wakazi wa Shibuya jijini Tokyo hapa Japani kula mboga za majani zaidi badala ya nyama...wakituambia tutatunza mazingira zaidia na kuacha ukatili kwa wanyama..du!

0 comments: