Raisi barack Obama na familia yake wakiwa katika mapumziko Martha's Vineyard, Mapumziko ya wakubwa chini ya Ulinzi mkali, hakuna nanihii..

Rais Obama akiendesha baiskeli huku akimwangalia binti yake Sasha akijiandaa kupanda baiskeli yake Hii ilikuwa mapuzikoni Martha's Vineyard wiki hii. 
Ulinzi kila upande..
Nani anaongoza kuwania kiatu cha dhahabu?
2 hours ago

0 comments:
Post a Comment