Siku ya kwanza ya Mgomo Ijumaa iliyopita...madai nyongeza ni nyongeza ya asilimia 130 ya mshahara uliopo na hali bora ya kazi.
Hatimaye mgomo umekwisha kwa makubaliano kuwa wafanyakazi 160 waliofukuzwa kazi warejeshwe , kazi ziendelee kama kawaida na wafanyakazi wapate nyongeza ya mshahara ya asilimia 10 kuanzia mwezi ujao...Ndege zimeanza kuruka kwenda nchi mbalimbali chini ya huduma ya wafanyakazi ambao awali waligoma...5.
Dira Ya Dunia
50 minutes ago
0 comments:
Post a Comment