Miss tanzania Iluminata Wize katika Moja ya Pozi zake. wapoAtlantis,kisiwa cha Paradise Island,Bahama tayari kwa shindanola mrembo wa dunia litakalofanyika tarehe 23 August. Televisheni ya NBC imechukua haki za kutangaza live na shindano hilo litakuwa hewani kuanzia saa 3 usiku kwa saa za Afrika Mashariki, na saa tisa alfajiri hapa Japani.Kila la kheri Illuminata!KURA KWA ILLUMINATA..Vote For Illuminata;To vote for Illuminata kindly visit http://www.missuniverse.com/ then log in and get a username then go tohttp://www.missuniverse.com/members/profile/41815 and click on ''Rate This Member''and give Illuminata 5 Stars (It’s important to give her 5 Stars for her stats to increase). With few 5 Stars votes,she can get aheadfaster than with many 1 or 2 stars votes.Don’t forget to leave encouraging messages on the page
for Illuminata. Go Tanzania Go Illuminata!! Baadhi ya washiriki wa shindano la mrembo wa dunia kutoka kushoto Miss Uruguay Cinthia D'Ottone, Miss Ukraine Kristina Kots-Gotlib, Miss South Africa Tatum Keshwar, Miss Tanzania Illuminata Wize na Miss Slovenia Mirela Korac.Kazi ipo...
Miss Universe Japan Emiri Miyasaka akiwa amevalia kimono siku alipoagwa jijini Tokyo akielekea Bahamas , ilikuwa July 22,2009.
TASAC Yawasihi Vijana Kuchangamkia Mafunzo ya Mabaharia
56 minutes ago
0 comments:
Post a Comment